Home >  Term: kujifunza kwa ushirikiano
kujifunza kwa ushirikiano

Mtindo wa kujifunza unaohitaji ushirikiano wa idadi ndogo ya wanafunzi wanaolenga kutimiza jukumu fulani; kila mwanafunzi hushughulikia sehemu maalum ya jukumu na jukumu lote haliwezi kukamilika bila ya wanafunzi wote kukamilisha sehemu zao za kazi.

0 0

Kūrėjas

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 points
  • 100% positive feedback
© 2024 CSOFT International, Ltd.